letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de sakata - mbosso

Loading...

(nusder on the beat)
iyee, ola ola, ola ola

we mwana we umefunika nini
funua nione
asa unaninyima nini?
uchoyo ukome

peku peku nidondoshe porini
na miiba zinichome
kwetu maji mengi ya nini
nipe matone

kishati shati piga pasi, ola ola
leo sema twende wapi, ola ola
nikugande gande ka papasi, ola ola
mmmh wewe wewe, ola ola

aga ma, natafuta kiko iko wapi?
chuma chuma dede
wakiuza siso uza gati
chuma chuma dede

huko dhambi mwiko sipataki
chuma chuma dede
ziba mwanzo mwisho wacha kati
agaga acha wavunje n-z-
mwagaranyo, ola ola
we niroge na vya n-z-
vya zaramo

sakata, isakatue
sakata, isakatue
sakata, isakatue
sakata

sakata, isakatue
sakata, isakatue
sakata, isakatue
sakata

[flavour]
your love dey shake me like kai kai
if kwa heart you can mind mind
——-
—–

agaga acha wavunje n-z-
mwagaranyo, ola ola
we niroge na vya n-z-
vya zaramo
sakata, isakatue
sakata, isakatue
sakata, isakatue
sakata

sakata, isakatue
sakata, isakatue
sakata, isakatue
sakata

(wasafi)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...