letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de haijakaa sawa - mbosso

Loading...

sasa unanuna nini?
au unadhani hata mimi napenda
nishazichoka na mimi
mboga za majani kila siku mlenda

siko juu siko chini
niko nusu sadoo
sio wa k-mi si sabini
ngoma ngumu bado
kama ibada naswali sana usiku wa manane
tena nafunga na suna
mambo bado bado mwana wane
naona yan-z-di kuguma

nikirudi na hasira hasira (nizoee)
mambo magumu bado bila bila (niombee)
nikirudi na hasira hasira (nizoee)
mambo magumu bado bila bila (niombee)

halijakaa sawa (nivumilie ipo siku tutapata)
halijakaa sawa (shida na dhiki zitakwisha baby)
halijakaa sawa (kuchana kope make up utapaka)
halijakaa sawa (tutabadili mboga kuku kwa manyama)

chochea kuni kipenzi changu
asubuhi tumbo likik-ming’inya
pokea kidogo changu
tunywe chai na mkate wa k-mimina
akili ikichoka riziki nikikosa
najua kwako nitajiliwaza
kama makosa nivute chumbani
kununa nuna unajilemaza

ustahimilivu mnao wachache mno
jua shida rafiki wa mbivu baada ya
dhiki mavuno kila jema lina maumivuu
na kwenye waliomo tumo
yarabi salama tupe tulivu
penzi lisifike kikomo iyeee yeee eee

nikirudi na haasira hasira (nizoee)
mambo magumu bado bila bila (niombee)
nikirudi na hasira hasira (nizoee)
mambo magumu bado bila bila (niombee)

halijakaa sawa (nivumilie ipo siku tutapata)
halijakaa sawa (shida na dhiki zitakwisha baby)
halijakaa sawa (kuchana kope make up utapaka)
halijakaa sawa (tutabadili mboga kuku kwa manyama)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...