letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kamkoba - mbogi genje

Loading...

[intro: smady tingz]
(vdj jones)
mbogi genje, kamkoba (genje ni mbwaya)
kamkoba (genje ni mbwaya)
(mavo on the beat)

[hook: smady tingz]
kamkoba usikaweke (usikaweke)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)

[verse 1: smady tingz]
kamsupa na kathombotha (kathombotha)
zilishika akavua hadi toja (hadi toja)
n-z-gonga anadai akingoja
n-z-gonga anadai, “sitaki moja” (sitaki moja)
mi ndio roro, namba saba
mi hufunga dude zote hadi gwatha (hadi gwatha)
akajibamba, akatupa hadi rubber (hadi rubber)
tukimada atapiga msalaba (msalaba)
mi hukawia nikidandia
na nikikam through utanik-mbatia
na nikikam through utanik-mbatia
na nikikam through utanik-mbatia

[hook: smady tingz]
kamkoba usikaweke (usikaweke)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
kamkoba usikaweke (usikaweke)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)

[verse 2: guzman]
digi ayiela, amenibamba (bamba)
na kuzied hio mkoba, amenimada (ha-ha)
na akizama, walai, amejing’ora
kakijipa, itabaki kamewika (ai)
k-manga uchi, uijazilie kut-kut (kutu)
aki, walai, ni lazima apige nduru
chini ya waba, mchezo ni ya w-nga
utani-like, mi ni super striker (striker)
nai-k!ll, utawika mbaya
hii ni dudu, utawika mbaya
utashinda ukiniita mbaya
(na mi nitaitika mbaya!)

[hook: smady tingz]
kamkoba usikaweke (usikaweke)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
kamkoba usikaweke (usikaweke)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)

[verse 3: militan]
na-realise mi hukwaria zireu
dangulo, nimezunda ka wa mbwegze
umojing, kwa wazing, militan kuwa-sting kama bee
wako steam, niko biz, mr chingri
rima zote kuwariet, wanabaki na matiash
ni kutiaf, kujichapa, kuwatoka tuna-hype
kuwa-mash up, kuwanyam, [?] zime-time
mbogi genge to di top, kuwashikisha na uras
nawatepa na machieng
niko riang, niko rieng, utanipata umojeng
nawatepa na machieng, utanipata umojeng
nawatepa na machieng, na-nawatepa na machieng

[hook: smady tingz]
kamkoba usikaweke (usikaweke)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
kamkoba usikaweke (usikaweke)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
kamkoba usikaweke (usikaweke)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)
ku-perform, kuwateka, kuwatoka (kuwatoka)

[outro]
(mavo on the beat)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...