letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de rita - marlaw

Loading...

ooh rita, rita
ooh rita, rita
ooh rita, rita
ooh rita oh no no no

sauti inasikika tega makini
hujui nani inamwita iih iih
chozi latoka nitazamapo angani
naona sura ya rita iih hii

ona mikono yangu mitupu
imezoea kukushika we
hata nyumbani kw-ngu haupo
umepotea sikuoni kamwe

ooh rita, ooh rita
daily nakuwaza wee
ooh rita, ooh rita
mimi nitanyamazaje?

aaah rita we unajua jinsi gani mimi na wewe tulivyopendana
jitoa sadaka kimapenzi ilimradi tusijetengana
ila we unajua ni yako familia
damu yangu ya bongo si ya asia
ndo kigezo cha wao kunitosa mara mbili risasi wamenikosa
k-mbuka ile mimba ndio iliyokufanya
ukaja kw-ngu (ulif-kuzwa kwenu)
ulijifunguapo mtoto na wote
mkaishi kw-ngu (ukawachukiza kwenu)

na taarifa ikaja kwako wewe rita
uende arusha nduguzo wanakwita
ukani-kiss kiss mimi na mtoto
nikakukiss hey hey

sauti inasikika tega makini
hujui nani inamwita iih iih
chozi latoka nitazamapo angani
naona sura ya rita iih hii

ona mikono yangu mitupu (ona mikono yangu)
imezoea kukushika we
hata nyumbani kw-ngu haupo (hata nyumbani kw-ngu)
umepotea sikuoni kwamwe (haupo)

ooh rita, ooh rita
daily nakuwaza wee
ooh rita, ooh rita
mimi nitanyamazaje?

ni tangu arusha hadi iringa simu inaita napokea unalia
kurudi iringa uishi nami ndugu zako wamekuzuia
ukasema laiti ungejua usingekubali uondokee pekee
mwanao -n-lia, ona mumеo ni bora ninywe pombe
ila kwa penzi uka-forcе kurudi
piga simu mume w-ngu nakuja
na maneno ya konda kwenye basi ulifika
alikupa siti ukakaa, ulipokaa ukakaa

ile siku mi nimelewa
niko mi na mwanangu k-mpokea mke w-ngu
konda akasema si wewe, ila tu mwili wako

sauti inasikika tega makini
hujui nani inamwita iih iih
chozi latoka nitazamapo angani
naona sura ya rita iih hii

ona mikono yangu mitupu (ona mikono yangu)
imezoea kukushika we
hata nyumbani kw-ngu haupo (hata nyumbani kw-ngu)
umepotea sikuoni kamwe (haupo)

ooh rita, ooh rita
daily nakuwaza wee
ooh rita, ooh rita
mimi nitanyamazaje?

ooh rita rita ahh na marco chali
ndani ya mj records
this is true story to marco
rita, rita, rita
aaah hata nyumbani kw-ngu haupo!!

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...