letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de bembeleza - marlaw

Loading...

nipesa simu nibembeleze
hey hey h-llo ma
laiti ungekuwa unaniona
vile kila time nakonda nawaza
kama kukupata nitaweza

jinsi gani kukueleza
au mi sijui bembeleza
usinikatae utaniumiza
nakupenda kukutenda sitoweza

kila time nakuangalia usoni ma
sio kamaa nakosa neno kusema
ulivyo ma anafanya kosa kunena
ingawa moyo hautaki kunena tena

wazo kichwani lina beep (kukueleza)
ila vibaya ukinijibu (bembeleza)
nahisi sijui bembeleza
utakataa halafu mi utaniumizaa

kidesign nakuangalia usoni ma
kuna sign za kuita huko machoni ma
kitu fulani umehifadhi huko moyoni ma
unachotaka nianze mikusema
hapa unafanya nijione (nitashinda)
hapa unafanya nitamke (nakupenda)
ilaunacho jibu mdomoni nitofauti nausеmacho machoni

we dada mi unaniumiza
we dada sijamaliza
mbona unakata simu
pleasе usikate ma

hey hey h-llo ma
laiti ungekuwa unaniona
vile kila time nakonda nawaza
kama kukupata nitaweza

jinsi gani kukueleza
au mi sijui kubembeleza
usinikatae utaniumiza
nakupenda kukutenda sitoweza

h-llo ma
laiti ungekuwa unaniona
vile kila time nakonda nawaza
kama kukupata nitaweza

jinsi gani kukueleza
au mi sijui kubembeleza
usinikatae utaniumiza
nakupenda kukutenda sitoweza
kati yetu imetawala rangi ya pinki (pink)
kitu ambacho moyoni siridhikii
nacho kuomba tuwe zaidi ya marafiki
inajionyesha machoni unaafiki

lugha ya macho kwa sasa (nakataa)
tataka tuongee ilitufikie (mwafaka)
oooh aaah, aaah

kwenye party ulikuja umependeza
kwenye traini ukaniomba mi kucheza
tukadance na macho umelegeza
ulinibamba nikaficha kukueleza

unanimaliza
mimi ninakweleza
minakupembeleza
baby please baby girl
vile unatamka
wewe kuona nataka
tuonge ana kwa ana
baby please baby girl

we dada mi unaniumiza
we dada sijamaliza
mbona unakata simu
please usikate ma
hey hey h-llo ma
laiti ungekuwa unaniona
vile kila time nakonda nawaza
kama kukupata nitaweza

jinsi gani kukueleza
au mi sijui kubembeleza
usinikatae utaniumiza
nakupenda kukutenda sitoweza

h-llo ma
laiti ungekuwa unaniona
vile kila time nakonda nawaza
kama kukupata nitaweza

jinsi gani kukueleza
au mi sijui kubembeleza
usinikatae utaniumiza
nakupenda kukutenda sitoweza

hooow (hooow)
sasa kama (kama)
umenielewa mbona

unachelewa sana
nambie nije, nije sasa hivi
umenielewa mbona
unachelewa sana
nambie nije, nije sasa hivi

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...