letra de njoo - manasseh shalom
mmh
[verse 1]
njoo nikuibie siri
iko jamaa anakupenda mana
tangu hizo enzi za nyayo
moyo w-ngu umebaki wako
walami wanasema ‘one of a kind‘
ukambani we ni ‘mundu wakwa‘
hata twende wapi
utabaki kuwa tunda la macho
[bridge]
nak-mbuka maneno ya mama
aliponiambia bibi mzuri
baraka ya mola
moyoni mw-ngu nahisi kutabasamu
uwe w-ngu
basi baby…
[chorus]
njoo njoo njoo
nikupeleke kwa wazazi
njoo njoo njoo
uwe w-ngu milele
njoo njoo njoo
nikupeleke kwa wazazi (kwa wazazi)
njoo njoo njoo
uwe w-ngu
[verse 2]
mwanzo haukuwa mzuri
ingawa sasa nimekubali
wito wa mola
nitakupenda invyofaa
kuna ambao watasengenya
lakini love tusikate tamaa
siku zijazo
nyumba yetu itajawa furaha
[bridge]
nak-mbuka maneno ya mama
aliponiambia bibi mzuri
baraka ya mola
moyoni mw-ngu nahisi kutabasamu
uwe w-ngu (uwe w-ngu)
kipusa…
[chorus]
njoo njoo njoo
nikupeleke kwa wazazi (kwa wazazi)
njoo (njoo) njoo njoo
uwe w-ngu milele
njoo njoo njoo
nikupeleke kwa wazazi (kwa wazazi)
njoo njoo njoo
uwe w-ngu
baby
uwe w-ngu milеle
uwe w-ngu baby
uwe w-ngu kipusa
ni wеwe nachagua
[outro]
njoo njoo njoo
nikupeleke kwa wazazi
njoo njoo njoo
uwe w-ngu milele
njoo njoo
nikupeleke kwa wazazi
njoo njoo
uwe w-ngu
letras aleatórias
- the blasting company › letra de when me and my brother had a row - the blasting company
- mommy long legs › letra de alien - mommy long legs
- udo lindenberg › letra de mit dir sogar 'n kind - udo lindenberg
- ea80 › letra de die kurze geschichte - ea80
- molly payton › letra de planet holiday - molly payton
- arif sag › letra de ey erenler - arif sağ
- gramthart mr meister › letra de akira - gramthart & mr.meister
- malson atmosferic › letra de perdiendo el aliento - malson atmosfèric
- ezhel › letra de intikam - ezhel
- berry good › letra de accio - berry good