letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de sultan - maandy

Loading...

ah
ahyeh
kabaya

napenda ma shillingi manaira pounds
mahali joh imefika nadai sultan
mali si ya mtu una ngangania
na si ukona pupa bradhe tulia
bradhe tulia tulia
bradhe tulia tulia
bradhe tulia tulia
bradhe tulia tulia
ay weh tulia tulia
ay weh tulia tulia
bradhe tulia tulia
bradhe tulia tulia

utanipata kona ya club na chali yako
nikimzungishia baby boy shika tako
rumor zikianza headline ni jina yako
lakini ukilalilisha mi napita na beshte yako
ah
mako wambo amebeba utadhani ni aoko
na ni wa mjengo ananibeba ka kokoto
brallete ni see through ju mi sipendi joto
uliza ata bahati toto ni loto

shika waist side to side
drop it down chunga usi slide
balance kiasi peleka mbele
tingiza na utese hii mambo haina kelele
shika waist side to side
drop it down chunga usi slide
balance kiasi peleka mbele
tingiza na utese hii mambo haina kelele

napenda ma shillingi manaira pounds
mahali joh imefika nadai sultan
mali si ya mtu una ngangania
na si ukona pupa bradhe tulia
bradhe tulia tulia
bradhe tulia tulia
bradhe tulia tulia
bradhe tulia tulia
ay weh tulia tulia
ay weh tulia tulia
bradhe tulia tulia
bradhe tulia tulia

headi shoulder kness and toes
i got hoes for all your bros
madame wa kanairo ogopa though
ata fanya vitu hujaona before
sura baadaye, baba ukona doh?
nicall once a month otherwise utanibo
na nikona chef ka unadai chapo
hii ni buffet weh serve and go
ati uko? ukona chalo
anasema ananijua, me i don’t know
maybe nilipita na yeh campo
vaco za kulimana mkiitana bro

napenda ma shillingi manaira pounds
mahali joh imefika nadai sultan
mali si ya mtu una ngangania
na si ukona pupa bradhe tulia
bradhe tulia tulia
bradhe tulia tulia
bradhe tulia tulia
bradhe tulia tulia
ay weh tulia tulia
ay weh tulia tulia
bradhe tulia tulia
bradhe tulia tulia

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...