letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de yes bana remix - longnus

Loading...

intro(kahligraph x longnus)
eyoo! motif turn me up headphones bro!
what’s up

check!
i guess i’m go’in

verse
nikapata taarifa kwa insta
yes bana challenge inaita
ukifanya vizuri hii chapter
khali carter 4 unaweza ukapita

huddah migomo ya nini, kwa nini usishike simu ya khali
anawife amemarry kabisa, so ujinga ni call ya deal
mabuddah ni watu makini,(neezy) hatuwazi miti na kiki i’m sorry
life imetuchosha kabisa, tunagonga wakitaka mazishi ni ngori
ha haaaa!
nishapewa nafasi, ni kuk!ll ka verse sijawahi fanya for funny huifanya for mass
so lazy ka mars, hawa rappa kamasi nawatoa nakutupa wamekosa nafasi
walishabana interviews, wakidhani wao viewers walidhani nitabag sheria zao zakuforce
i’m talented g*nius, ninagonga downloads wataka collabo nami nikupe maviwers

tunaweza rap pamoja, kabiti kamoja lakini lazima nikuzime
siwezi kurap kwa uwoga, ka naflow moja ko usicome ukoless unipime
nacheza na rap pamoja, ka ni mnako na soldier ka ni maji kwa unga usipime, (let’s go)
case za k-mada nataka, koz cjuw kungoja mi ni ndo guy wa rap nijitume

aay! huncho tiempo, calm-rs-
negro sino me ausent-rs-
ahora soy más fuerte
que voy a darte
neezy!
chorus
yes bana
mi ndo yule rappa hatari
yes bana
hapa nawapasha habari
yes bana
inabidi collabo na khali,
yes bana
kisha tufanye na fally
yes bana
saa hii nawapasha habari
yes bana
nataka nitoe mahari
yes bana
mwaka huu lazima nimarry
yes bana
wife mtajua msiworry

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...