letra de kizaizai (remix) - linah sanga
[intro: linah sanga]
tudd thomas
oh oh oh oh oh
hey
[verse 1: linah sanga]
yanaanza kama safari
twende fulani ukaone
k-mu yana nguvu ni hatari
ukishanasa ndio uponi, eh
yanaanza kama safari
twende fulani ukaone
k-mu yana nguvu ni hatari
ukishanasa ndio uponi, eh
[pre-chorus: linah sanga]
mungu aliumba dunia na maajabu yake
ya mwenzako sikia omba yasikupate (hey)
mungu aliumba dunia na maajabu yake… (hey)
ya mwenzako sikia
ila yasikupate…
[chorus: diamond platnumz with linah sanga]
(kizaizai)
nyie mapenzi yanauma (kizaizai)
yanaumiza (kizaizai)
oh, kizunguzungu (kizaizai)
jama mapenzi mabaya (kizaizai)
weza gombana na ndugu (kizaizai)
rafiki akawa mubaya (kizaizai)
kazi ukaona chungu (kizaizai)
nyie mapenzi karaha (kizaizai)
[interlude: linah sanga]
hey…
[verse 2: linah sanga]
yanayima furaha
mmmh
yanakosesha raha
hey
yanayima furaha
oh oh oh oh oh
yanakosesha raha
hey
tena usiombe kupenda
ulie mpenda ajue
tena usiombe kupenda
ulie mpenda ajue
amani utakosha karaha jamani…
dunia tena chungu kufa utatamani…
[pre-chorus: linah sanga]
mungu aliumba dunia na maajabu yake
ya mwеnzako sikia omba yasikupate (hey)
mungu aliumba dunia na maajabu yake… (hеy)
ya mwenzako sikia
ila yasikupate…
[chorus: diamond platnumz with linah sanga]
(kizaizai)
nyie mapenzi yanauma (kizaizai)
yanaumiza (kizaizai)
oh, kizunguzungu (kizaizai)
jama mapenzi mabaya (kizaizai)
weza gombana na ndugu (kizaizai)
rafiki akawa mubaya (kizaizai)
kazi ukaona chungu (kizaizai)
nyie mapenzi karaha (kizaizai)
[interlude: linah sanga]
hey…
[middle 8: diamond platnumz with linah sanga]
ah, tai
basi nitulize, nitulize
nitulize, nitulize
nitulize, nitulize
nibaki nimetulia
nitulize, nitulize
nitulize, nitulize
nitulize, nitulize
nibaki nimetulia
nitulize, nitulize
nitulize, nitulize
nitulize, nitulize
nibaki nimetulia
nitulize, nitulize
nitulize, nitulize
nitulize, nitulize
nibaki nimetulia
[bridge: diamond platnumz]
ah, na nina ugonjwa (wa moyo, wa moyo)
oh, sili silali (wa moyo, wa moyo)
oh, sanga tafadhali (wa moyo, wa moyo)
ah, ni pozi hili hali (wa moyo, wa moyo)
[chorus: diamond platnumz with linah sanga]
(kizaizai)
nyie mapenzi yanauma (kizaizai)
yanaumiza (kizaizai)
oh, kizunguzungu (kizaizai)
jama mapenzi mabaya (kizaizai)
weza gombana na ndugu (kizaizai)
rafiki akawa mubaya (kizaizai)
kazi ukaona chungu (kizaizai)
nyie mapenzi karaha (kizaizai)
[outro: linah sanga]
kizaizai
kizaizai
kizaizai
kizaizia (thomas on the beat)
letras aleatórias
- frutal roots › letra de descomplica - frutal roots
- 780sano › letra de doubt - 780sano
- vocal › letra de zeitmaschine - vocal
- aboutblank › letra de mechanical obscenity - about:blank
- lauriete › letra de o quarto homem - lauriete
- funker vogt › letra de unter dem radar - funker vogt
- jackie › letra de lifetime in a touch - jackie
- niked › letra de día gris - niked
- wolfchild › letra de runaways - wolfchild
- eclipse prophecy › letra de legions of the cross - eclipse prophecy