letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kishash - lil maina

Loading...

[intro]
bratha
eeh, reo rada ni safi
tupatane hapo nghetto tuchonge mamilaa
eeeh

[pre-chorus: lil maina]
ai usidoz ndio huyo mimi ninacome
manze huko nje naitwa one minute man
ati mi hu-bore but am on high demand
depression iki-kick in manze nitakiburn

[chorus: lil maina]
kishash (wee), kwa bash (wee)
kishash (wee), kwa bash (wee)
kishash (wee), kwa bash (wee)
kishash (wee)

[verse 1: lil maina]
you want a quickie in an uber chap chap (alaa)
kama soulja boy she makes it clap clap
hii samosa ni ka manzi yako, ai venye inaslap

[chorus]
kishash (eeeh)
kishash kishash kwa bash (wee)
kishash kishash kwa bash (wee)
kishash kishash kwa bash (wee)
kishash
[verse 2: lil maina]
skiza
everything you say has a consequence
anatingisha ungedhani ni effervescence
manzi yako ye hupeana na confidence
am jidenna man, i feel like a classic man
amekata tatu na bado hableki
ni kama gari imeachilia breki
na manyaru zitafanya mi nikreki
ni kasupuu kapoa kako na jеgi
ai we

[pre-chorus: lil maina]
ai usidoz ndio huyo mimi ninacome
manze huko njе naitwa one minute man
ati mi hu-bore but am on high demand
depression iki-kick in manze nitakiburn

[chorus]
kishash kishash kwa bash (uuuwi)
kishash kishash kwa bash (uuuwi)
kishash kishash kwa bash (aiii)
kishash

[verse 3: ndovu kuu]
ai
ay peng ting (fine fine)
ay what’s you name ting (njeri)
unaeza risk si tufanye some tasting (mmh)
na mi ni chali straight forward no dating (mmh)
si mi najua unapenda forni… (wewe)
hodi hodi ho
ukinipea siwezi mind
show me show me show
baby where are you behind this
mi si kama wao
baby hii si madharao
siwezi patana nao mi ni ndovu
hebu ngoja nina kitu
si makelele ndani ya toja nina jitu
na ni yenyewe umezoea za mwitu
hii ikikupata utaskia ni ka uko mavitu
ai we
[pre-chorus: lil maina]
ai usidoz ndio huyo mimi ninacome
manze huko nje naitwa one minute man
ati mi hu-bore but am on high demand
depression iki-kick in manze nitakiburn

[chorus]
kishash kishash kwa bash (uuuwi)
kishash kishash kwa bash (uuuwi)
kishash kishash kwa bash (aiii)
kishash (aiii)
burn
kishash kishash kwa bash (uuuwi)
kishash kishash kwa bash (uuuwi)
kishash kishash kwa bash (aiii)
kishash (aiii)

kishash (kishash) wee, kwa bash (shash)
kishash (kishash) wee, kwa bash (shash)

ndovu aki walai
kishash

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...