letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de fuliza - leteipa the king

Loading...

verse 1 {leteipa the king}
nilikutunza kama mboni
kama walenje mf-koni
nilikupenda sana wewe, kisha ukaniacha mwenyewe
kidonda changu hakiponi
nakutafuta sikuoni
k-mbe ulibebwa na mwewe, ukaniachia kiwewe
na kale kamia
ulinitupia
sijakatumia bado nakaangalia
nikifikiria vile ulinichukulia
kama sufuria ama kama ligunia
nilikupa kila kitu, vya nje mpaka vya ndani
nawe ukanipa jipu, kupona mi sidhani
ni kweli nahisi wivu, kukuona kwa fulani
penzi lishakuwa jivu, kuni ziliisha zamani

chorus {leteipa the king}
(nine choke kuwa nawe,) my confidence
( nawe ,) my self esteem
(nawe , ) my holyness
(nawe,) my future dream
(nawe) my only sp-cе
(nawe) my golden blings
(nawe) zotе umezifuliza
(nimechoka kuwa nawe) nirudishie ring yangu
(nawe) hata kambuzi ketu kana kidole
(nawe) bora nidate simu tangu
(nawe) itanitreat better nipone
verse 2 {dreamboy}
nilikuenzi ka kiba kwa cinderella
nikakupa penzi, k-mbe ulichojali ni h-ll
nikuhonge benz , magari ka ya telenovela
na sina centi kapuku kama mfungwa jela
ila moyo w-ngu nilikupa uniwekee
ukaondoka na kuniachia upweke
heartbroken moyoni mi niteseke
huku na kule beshte zako wanicheke
{leteipa the king}
na kale kamia
ulinitupia
sijakatumia bado nakaangalia
nikifikiria vile ulinichukulia
kama sufuria ama kama ligunia

chorus {leteipa the king}
(nine choke kuwa nawe,) my confidence
( nawe ,) my self esteem
(nawe , ) my holyness
(nawe,) my future dream
(nawe) my only sp-ce
(nawe) my golden blings
(nawe) zote umezifuliza
(nimechoka kuwa nawe) nirudishie ring yangu
(nawe) hata kambuzi ketu kana kidole
(nawe) bora nidate simu tangu
(nawe) itanitreat better nipone
(nimechoka kuwa nawe) kweli haya ni mapenzi ama uhusiano wa kibiashara
(nawe) kila mwisho wa mwezi nikupe tayari kukupa mshahara
(nawe) nimechoka siezi tazama mwenzako nilivyoparata
(nawe) miaka yangu ni michache lakini tayari nishatoka kipara

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...