letra de sina makosa - les wanyika
Loading...
hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure baba
yule si wako
nami si w-ngu
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure baba
kwako hayuko
kw-ngu hayuko
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure baba
wewe una wako nyumbani
nami nina w-ngu nyumbani
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
nasema sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana
letras aleatórias
- just friends › letra de welcome mats - just friends
- raphael drew boltman › letra de asphyxia (acoustic version) - raphael drew boltman
- mannarino › letra de donna fugata (bonus track) - mannarino
- kubiszew › letra de alfabet - kubiszew
- mrigo ghet › letra de nesrat - mrigo & ghet
- linus der profi und bernd bass › letra de pvc - linus der profi und bernd bass
- senhel › letra de autumn lord - senhel
- brighter brightest › letra de someone new - brighter brightest
- jose manuel soto › letra de por ella - jose manuel soto
- florentino servando y › letra de donde estara - florentino servando y