letra de lava lava - teja - lava lava
[verse 1]
hhhmmm
nikutume wapi sasa njiwa
uende unitafutie kipenda roho
hhhmmm
yuuh wapi kama unanisikia
fanya unisaidie usichikoe ohhh
tumia wako ujasiri na machachali
chumvi sukari niwekeeeee
nenda na ufike mbali
ukipata hodari usisubiri nilete
[bridge]
ila sitaki kunguru mimi ehhh
akaiba ndani
kutwa kuzulula mitaaani kula mifupa
asiyojua penzi nini (eeeh)
wala shukurani (eeeh)
chochote anakula hata kile kinachonuka
[chorus]
akanifanya nikawaaaa
teja wa mapenzi
nikawa mimi
teja wa mapenzi
akili ikasinizia ehh
teja wa mapenzi
ohhh masikini
teja wa mapenzi
moyoni ntaumia ehhh
[verse 2]
mama alisema penzi sherehe
si mabomu ya machozi kutwa kulizana
na ujana ukiendekeza starehe
yule mwenye jema penzi utamuona hana maana
mapenzi sio upinzani ule wa simba na yanga
tuishi kama vitani kushikiana mapanga
mapenzi kamari uyapati kwa waganga
nishapiga sana tunguri nikaishia kutanga tanga
ndo maaana
[bridge]
sitaki kunguru mimi ehhh
akaiba ndani
kutwa kuzulula mitaaani kula mifupa
asiyojua penzi nini (eeeh)
wala shukurani (eeeh)
chochote anakula hata kile kinachonuka
letras aleatórias
- lady maisery › letra de i know my love - lady maisery
- scarlett grace › letra de the highs & lows of loving you - scarlett grace
- marca mp › letra de los drones (en vivo) - marca mp
- galactic hole › letra de chguh ch - galactic hole
- jon mccartie › letra de part of me - jon mccartie
- elle winter › letra de sad girl heaven - elle winter
- lauren evans › letra de beginning of the end - lauren evans
- corr mhona › letra de ...na lámha-sa - corr mhóna
- 瑛人 › letra de 韻シストver. - 瑛人
- himortxl › letra de that mean - himortxl