letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de go gaga - lava lava

Loading...

ana jicho la kukonyeza na mikogo kashakira
mhhhhhhh
nyuma mkia pweza shepu katapira
mechi tunazozicheza kitandani fundikira
ameniweza napumua kwa mipira

tenaa
kiuno laini chuchu dodododo
kitovuni kipini mtoto jojojojo
avae dera kimini nyuma rojorojo
katoto ndizi maini yani sotojotojo

aaahhhh gogaga
fanya kama unataga
tuzivunje chaga
ongeza mazagazaga
ayeee
aaahhhh gogaga
fanya kama unataga
tuzivunje chaga
ongeza mazagazaga
basi waonyeshe
waone waone
basi waonyeshe
waone waonyeshe waone

mungu alikuumba kwa udongo we mtoto fire
(fire, fire)
kuta kunipa mazongo ukija retire
(tire, tire)
zidishe maonjo stimu za kaya
(kaya, kaya)
sichururu ndondondo penzi likapwaya
(pwaya, pwaya)

unavyonichanganya manuva
kiuno spidi kama msuva
kwako napooona
maajabu samaki nguva
mchezoni unavyonifungafunga
magoli ya koona

tenaa
kiuno laini chuchu dodododo
kitovuni kipini mtoto jojojojo
avae dera kimini nyuma rojorojo
katoto ndizi maini yani sotojotojo

aaahhhh gogaga
fanya kama unataga
tuzivunje chaga
ongeza mazagazaga
ayeee
aaahhhh gogaga
fanya kama unataga
tuzivunje chaga
ongeza mazagazaga
basi waonyeshe
waone waone
basi waonyeshe
waone waonyeshe waone

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...