letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de ndoto yangu - lady jay dee

Loading...

[verse 1: lady jaydee]
kila ninacho ona
ni ndoto yangu
kila hatua niliofikia
ni ndoto yangu
kila nilicho omba, ah
ni ndoto yangu
kila hatua niliofikia
ni ndoto yangu

[verse 2: rama dee]
kila kiu yangu, eh
wewe ndio yangu champagne
you’re the one i love, yeah
ndoto yangu, nilale

[verse 3: lady jaydee]
you’re my one and only
hakika, kituo ni hapa
hujanifanya nikonde
nanenepa ukiwa hapa

[pre-chorus: lady jaydee]
kila hatua
mwisho wa ndoto ni hapa
mola anajuwa
you’re my one and only
[chorus: lady jaydee]
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we

[hook: lady jaydee & both]
you’re my one and only
usinifanye nikonde, hey

[verse 4: rama dee]
tulitembea pamoja
kuif-kuzia hii ndoto
tulipigana pamoja
kuikaribia hii ndoto
tuliamini, amini
tukakubaliana
mi nawe
ndoto yangu, ndoto yako
ndoto yako, ndoto yangu
mafanikio tuliyo nayo
si bahati, ni mipango
baby
[pre-chorus: lady jaydee]
kila hatua
mwisho wa ndoto ni hapa
mola anajuwa
you’re my one and only

[chorus: lady jaydee]
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we

[outro: lady jaydee & both]
you’re my one and only
usinifanye nikonde, hey

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...