letra de ndoto yangu - lady jay dee
[verse 1: lady jaydee]
kila ninacho ona
ni ndoto yangu
kila hatua niliofikia
ni ndoto yangu
kila nilicho omba, ah
ni ndoto yangu
kila hatua niliofikia
ni ndoto yangu
…
[verse 2: rama dee]
kila kiu yangu, eh
wewe ndio yangu champagne
you’re the one i love, yeah
ndoto yangu, nilale
[verse 3: lady jaydee]
you’re my one and only
hakika, kituo ni hapa
hujanifanya nikonde
nanenepa ukiwa hapa
[pre-chorus: lady jaydee]
kila hatua
mwisho wa ndoto ni hapa
mola anajuwa
you’re my one and only
[chorus: lady jaydee]
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
[hook: lady jaydee & both]
you’re my one and only
usinifanye nikonde, hey
[verse 4: rama dee]
tulitembea pamoja
kuif-kuzia hii ndoto
tulipigana pamoja
kuikaribia hii ndoto
tuliamini, amini
tukakubaliana
mi nawe
ndoto yangu, ndoto yako
ndoto yako, ndoto yangu
mafanikio tuliyo nayo
si bahati, ni mipango
baby
[pre-chorus: lady jaydee]
kila hatua
mwisho wa ndoto ni hapa
mola anajuwa
you’re my one and only
[chorus: lady jaydee]
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
[outro: lady jaydee & both]
you’re my one and only
usinifanye nikonde, hey
letras aleatórias
- letra de c'est évident - beink
- letra de de onde vem o baião - gilberto gil
- letra de olvidala - beto y sus canarios
- letra de sunnyside - hideandseekzoo
- letra de blue eyes - sleeperstar
- letra de comme moi (remix) - ayna
- letra de vedrai vedrai - tenco
- letra de vie d'artiste - le rat luciano
- letra de sugar, sugar (mark pistel remix) - the archies
- letra de badd girl - trecelordiii