letra de dunia - lady isa
samkana mama eba na lavii,
masalakana na soka na phina.
samkana mama eba na lavii,
masalakana na soka na phina.
oooh mwanangu dunia ina mambo sikia maneno nakuambiaga,
mpe roho yakoo mola wako, heshima kwa wazazi eeh mwanangu.
dunia hii mama luk-mba luk-mba,
dunia ina mambo mwendo wa ngamia,
dunia hii mama luk-mba luk-mba,
dunia ina mambo mwendo wa ngamia
chunga mwenzio atakudanganya, kwa yoyote ile atapenda yeye,
kipenda rohoo kila mtu na yake,
yake ni yake na yako ni yakoo
dunia hii mama luk-mba luk-mba,
dunia ina mambo mwendo wa ngamia,
dunia hii mama luk-mba luk-mba,
dunia ina mambo mwendo wa ngamia
mwendo wa kobee mayelemayele,
mwendo wa chui kuwindawinda,
mwendo wa nyoka luk-mbaluk-mba,
mwendo wa ngalama kwa njia ya paradii.
dunia hii mama luk-mba luk-mba,
dunia ina mambo mwendo wa ngamia,
dunia hii mama luk-mba luk-mba,
dunia ina mambo mwendo wa ngamia
taabu na raha ina kungojea inategemea akili yako…
tafuta eeh… utapata eeh…
k-mbuka maneno nakuambiaga…
dunia hii mama luk-mba luk-mba,
dunia ina mambo mwendo wa ngamia,
dunia hii mama luk-mba luk-mba,
dunia ina mambo mwendo wa ngamia
instrunmental
chunga mwenzio atakudanganya, kwa yoyote ile atapenda yeye,
kipenda roho kila mtu na yake,
yake ni yake na yako ni yakoo.
dunia hii mama luk-mba luk-mba,
dunia ina mambo mwendo wa ngamia,
dunia hii mama luk-mba luk-mba,
dunia ina mambo mwendo wa ngamia
taabu na raha ina kungojea inategemea akili yako…
tafuta eeh… utapata eeh…
k-mbuka maneno nakuambiaga…
dunia hii mama luk-mba luk-mba,
dunia ina mambo mwendo wa ngamia,
dunia hii mama luk-mba luk-mba,
dunia ina mambo mwendo wa ngamia
prolonged instrunmental…
samkana mama eba na lavii,
masalakana na soka na phina.
samkana mama eba na lavii,
masalakana na soka na phina.
letras aleatórias
- the veronicas › letra de you and me - the veronicas
- radikal mc › letra de je comprends - radikal mc
- three laws › letra de road to rome - three laws
- banda el recodo › letra de cruz de olvido - banda el recodo
- ahs › letra de the omega man - ahs
- ram di dam › letra de half asleep - ram di dam
- blaq poet › letra de don't give a fucc - blaq poet
- black sunday › letra de death merchants - black sunday
- sain › letra de se não aguenta, não se envolve - sain
- jeezy › letra de my tool - jeezy