letra de nasikia kengele za christmas - kwaya ya uinjilisti ya vijana arusha mjini
nasikia kengere za christmas zinalia sasa…
ni wapi ni wapi ni wapi mwokozi w-ngu amezaliwa…
tazama nyota hiyo ina kwenda bethlehemu kwenye holi alipolazwa mtoto kristo yesu mwokozi…
wachungaji waliacha kondoo zao waifuata nyota ya mashariki…
nawe christmas acha vyote kwanza msalini eeh mtoto yesu… x 2
n-z-sikia shangwe za christmas zinavuma kote…
ni wapi ni wapi ni wapi mwokozi w-ngu amezaliwa…
ahadi zake mungu zatimia leo kwetu kazaliwa mwokozi yesu…
wachungaji waliacha kondoo zao waifuata nyota ya mashariki…
nawe christmas acha vyote kwanza msalini eeh mtoto yesu… x2
sikieni kelele za christmas duniani kote ni wapi ni wapi ni wapi mwokozi w-ngu amezaliwa
mjini mwake daudi kazaliwa mtoto yesu na ufalme uko begani hata milele…
wachungaji waliacha kondoo zao waifuata nyota ya mashariki…
nawe christmas acha vyotekwanza msalini eeh mtoto yesu…
wachungaji waliacha kondoo zao waifuata nyota ya mashariki…
nawe christmas acha vyotekwanza msalini eeh mtoto yesu…
letras aleatórias
- bets › letra de make my night - bets
- c rayz walz › letra de c-rayzwalz - c-rayz walz
- melly jade › letra de stalking - melly jade
- eleni dimou › letra de ζω (μαύρα φεγγάρια) [zo] - eleni dimou
- seatbelts › letra de diamonds - seatbelts
- ljupka stevic › letra de peva kafana - ljupka stević
- golden suits › letra de i think you would have been mine - golden suits
- ben › letra de ben€'s life - ben
- cheb ruben › letra de noseketal - cheb rubën
- martin garrix › letra de scared to be lonely (gigamesh remix) - martin garrix