letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kila mtu atauchukua mzigo wake - kwaya ya uinjilisti kkkt arusha mjini

Loading...

kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
kwa maana sote tasimama mbele ya kiti cha huk-mu
hapo atakapokuja mwana wa mungu

kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe,
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja

mbona wamhuk-mu ndugu yako natusihuk-miane
kama ndugu akikasirika mrejesheni kwa upole
mchukuliane mizigo kwa upendo

kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja

kila mtu ataipokea dhawabu yake mwenyewe
tutalipwa tulivyotaabika ukijiona wajidanganya
mtu aipime kazi yake mwenyewe

kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja

kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...