letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de usiguse - ksonrap

Loading...

[intro]
ksonrap
nipo na d black
dat’s what’s up

[verse:1]
kuanzia asubuhi mpaka jua linazama/
mateso zaidi gerezani gitarama/
nasiwezi kukimbia majuk-mu yaniandama/
sina tabasam mikausho mikali mpaka noma/
nikilala nakoroma ndoto zakutisha/
ugali ni wa dona kiporo kimebaki toka jana/
mawimbi ni makali nahisi jahazi litazama/
maadui wanafurai kuona na mawazo nimeshika tama/
sina washkaji ndugu wamenitenga sina hata mwana/
nimekondeana sana nguvu zimebaki ni zangama/
kichwani nimebeba mzigo wa lawama/
walionipima kwa macho walidai nina ngoma/
nimadawa nayovuta na sindano nazo choma/kujidunga
natetemeka muda wote alosto kama vile mwenye homa/
niyakosa tu nahisi nikiahama bila coca/
nishapelekwa sana sober nikatoroka/
nimechoka/

usijaribu../
usiguse..usinuse utafanya ukoo mzima ukususe../

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...