letra de sitabiriki - ksonrap
it’s a boy ksonrap
right here
you know what i’m sayin’
it’s going down
yeah
listen
what goes around… comes around
utavuna ulichokipanda
[verse 1: ksonrap]
nimebobea kwenye beat kama rap scala
bongo nai to kampala;
natisha nipo very deep kama ziwa chala;
ngumu ku impress hii medula hii mistari hela n-z-gawa kama bank taller;
siitaji wakunimanage sio tale wa fela;
king of best melody kama bella;
naichimbua rap archeology sina peace na mawaki nimewatupa jela;
zingatia itifaki uhuru ni wa bendera waliosema watadumu wapo hoi kwenye machela;
n-z-di kuyatupa makombora;
africa mashariki mkokenya mkombola;
kada kwenye chama zaidi ya palla natawala;
hizi level hawafiki wafupi kama mwala;
hili chimbo hasmati ameyatimba rockarfella;
leo umenikuta kwеnye ubora kwenye chati kama dollar
thrillеr in manila;
pisha kwenye barabara nimejaza vina kama abiria kwenye daladala za mbagala;
hauna stamina kiuwezo wao bado nikabwela;
dula makabila nawacontrol kama drug dealer;
mi silent k!ller sio mikwara wasaliti nawatoa tu kafara;
mwendokasi ruti ndefu kama mbezi ya kimara;
a luta continua nilipotoka ni majanga na misala;
[chorus: afrokidayo]
sitabiriki ,sishikiki ,sipimiki yee!
sitabiriki ,sishikiki ,sipimikiii yeee!
kwenye mvua na juaaa
kote nimepita nanani anajua?
eeee! eeeee..
letras aleatórias
- letra de the tale of mr. morton - skee-lo
- letra de zeno's paradox - clayton jokythur
- letra de болото (boloto) - ammiak
- letra de red - everything in slow motion
- letra de melo - namebrand
- letra de big on questions - tom rosenthal
- letra de rodéo - seven (jcr)
- letra de это для моих ребят (this is for my guys) - grindhouse
- letra de late night love - rover
- letra de truth - god