letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mtaani kwangu - ksonrap

Loading...

yeah!..
ksonrap!
you know what i mean

naskika toka swazi sogodo ndani ndani;
mchakamchaka machata na machizi waliopinda; mangeu manyang’au misokoto ya majani;
babu na wajukuu wote wanaghani;
panyarodi kila chocho kila siku mahakamani;
chafu tatu mwisho wasiku huna kitu mf-koni;
bado tuna komaa tu na fani..tupo chimbo kama apolo mererani;
nyapara gerezani makachero wanatusachi hawatukuti hata na jero;
wengine walisepa stoloway wakatoswa na mgiriki baharini;
harakati magilini vituko uswahilini kichapo cha ugoni;
hakuna wakukudhamini mapoti wakiwakutia tu mbaroni;
nahii ni last warning next wanakulenga kwenye utosi;
mikosi tunafusi mimoshi maskani za wakushi;
hatuna habari kama vile tupo bush;
life la huku lina tia tu hasira;
kuokota makopo imekuwa ni ajira hatuna dira;

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...