![letras.top](https://letras.top/files/logo.png)
letra de mtaani kwangu - ksonrap
yeah!..
ksonrap!
you know what i mean
naskika toka swazi sogodo ndani ndani;
mchakamchaka machata na machizi waliopinda; mangeu manyang’au misokoto ya majani;
babu na wajukuu wote wanaghani;
panyarodi kila chocho kila siku mahakamani;
chafu tatu mwisho wasiku huna kitu mf-koni;
bado tuna komaa tu na fani..tupo chimbo kama apolo mererani;
nyapara gerezani makachero wanatusachi hawatukuti hata na jero;
wengine walisepa stoloway wakatoswa na mgiriki baharini;
harakati magilini vituko uswahilini kichapo cha ugoni;
hakuna wakukudhamini mapoti wakiwakutia tu mbaroni;
nahii ni last warning next wanakulenga kwenye utosi;
mikosi tunafusi mimoshi maskani za wakushi;
hatuna habari kama vile tupo bush;
life la huku lina tia tu hasira;
kuokota makopo imekuwa ni ajira hatuna dira;
letras aleatórias
- letra de cool like ice - jackson day
- letra de fragrance - dave wyat
- letra de keep you safe - shane cannon
- letra de still yours - anonymou$ rap$
- letra de paws - lou barlow
- letra de legacy feat. eli uno - rarebreed
- letra de dimenticare - ayoub
- letra de get to you - the undercover dream lovers
- letra de so accessible - childsupport
- letra de тучи (clouds) - serotohih & almira