letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de haujamskia - ksonrap

Loading...

hauk-mskia babuu alivyokwambia kimbia/
hauk-mskia salut alivyosema chunga sana/
sikio lakiziwi haukusikia ya wahenga/
kifo jela au za umataasisi hak-mskia langa?/
hauk-mskia jaymoe aliposema ulimwengu ndo mama/
hamk-mskia roma/
ulikuwa wapi wakati tmk wanapiga mapanga/
rafael hauk-msikia saganda/
wakati wagosi wapotanga au dani msimamo siku nzuri inavyokwenda/
hak-mskia balozi dola ubalozini/
sasa yupo unyamwezini marekani/
ungeona mbali ungemkiliza afande wa darubini/mkali wa hizi rhymes
sasahiv ni waziri ila alianza kitambo hicho mwanafalsani/
unaweza k-muita binam wa mabinti dam dam/
please forgive me kama hauk-msikia majani watu waligonga nakala kwa mamu/
haukuwaskia kikosi wakati wanapiga mizinga pale block 41 (kino)/
ilikuwa ni noma usiuze wakati kiraka rado ana mwaga sana wino/
hauskia wakati anatubu chidibenzino haukukaa tayarl kunamskiliza jos mtambo kigambonino/
ulikuwa kijijini sitimbi wakati asuu anatamba na misambano/
kulikuwa na mwinjuma mumini kabla ya hizi amapiano/
umekosa vingi hauk-mskia hongera wa michano/

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...