letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de chawa pt2 - ksonrap

Loading...

ksonrap
yeahh
chawa!!!

[verse 1]
chawa amepanda bei
sikuhiz anaishi obei
itakushangaza kuona chawa amenyonga tai
anapanda pipa anaenda na boss safari za dubai
sikuhiz chawa anajidai chawa umaskini bye bye
k-mshauri et ache uchawa ni kosa la jinai
hivi ni kweli boss bila chawa hatoboi
sikuhiz chawa sio tena goigoi
macheni cheni mixer mavikoi
siri ya chawa na boss hatuijui
tulimsema sana ila kwaboss mahaba hayapungui
anakata uno zaidi h baba konde boi
huyu chawa promax ni hatarl
mdananda costumer care au natali
wanamuita doto mzee magari kazi yake kuu ni udalali

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...