letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de zible - krg the don

Loading...

juu mpaka chini tuko alright
vibes zetu pia ziko alright
man a real dealer, musical k!ller
mulla pon mulla yeah
flow tighter man a gangster
mi gyal so sic fi ya dancer
on the dancehall scene call me master
hee yaa hee, fire starter
mbogi genje wako kwenye rende
tafuta kazi usifinywe mak-nde
ki shawn michael piga kitu ko
we hustle harder haffi reach like so
mangwariti n-z-tise bila kibre
si unajua headbad nilizikre
mangwariti n-z-tise bila kibre
si unajua headbad nilizikre
zimezible zimezible
zimezible hanaku kukible
zimezible zimezible
zimezible hanaku kukible
nakupeddle tukisnipe tukinjikili
nikisha riu nyap huwezi ukanidigi mi
nakunywaku na mashifla za kisonge
ukisha nipa uning’am yaani hunioni
tuna blaze mabegega na the don
hizi mambanache tulie tukindasu
na tuna gun down kila ni barima
na tuna gun down kila ni bari
tunapull up kwa mambaru na ma m16
siku zote now hadi ibaki ni scene
kuwabwagisha na pills za kimezesha
kuwabwagisha na pills za ki
mangwariti n-z-tise bila kibre
si unajua headbad nilizikre
mangwariti n-z-tise bila kibre
si unajua headbad nilizikre
zimezible zimezible
zimezible hanaku kukible
zimezible zimezible
zimezible hanaku kukible
sare mezesha nimejithesha
riba nina romeo kuliko 1chweza
tutazieng na bufero uzidi kalesser
bududum ukiniritipo kwa mayesa
zanagi niko juu ya waragi
we sanoka tunakuja kukuzamali
utashonwa kibindoki tuko surgery
futi sita tukimbachi uko ndakali
jaku nikundise ndukulu
ka goshodo amevai sema f-kuru
mame amenikwaria za kizangaro
wanatia roho juu wako na unguchu
mangwariti n-z-tise bila kibre
si unajua headbad nilizikre
mangwariti n-z-tise bila kibre
si unajua headbad nilizikre
zimezible zimezible
zimezible hanaku kukible
zimezible zimezible
zimezible hanaku kukible
10daila juga juga ni kehuti
mbiu jas grong inarienga tifla
wonder ni madon wamelinky
eastlando prez nakunawo daila lajo
wathang’o city ni mapandis ni mariambez
kuchachisha ni ka wanapigwa shebe
ngwethelise zimeraru guzu j.u
lyta adisia hot grabba
enter mesti mbogilise kuchachisha
marialise mi hudai zile bwakla
si wa bukla wa kutekwa na ginimbi
taylor bang kuwabang kigagula
mangwariti n-z-tise bila kibre
si unajua headbad nilizikre
mangwariti n-z-tise bila kibre
si unajua headbad nilizikre
zimezible zimezible
zimezible hanaku kukible
zimezible zimezible
zimezible hanaku kukible

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...