letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nitafanya - kidum kibido

Loading...

[intro]
yeah
(drop)

[verse 1: kidum]
ikiwa umeamua kunitoroka
ikiwa unahisi kwamba ujisikii nami tena
napo imekuwa ngumu kunitokeza
naona ni bora nilie leo badala ya kesho
kupenda, usipendwe ‘ni kama kujitia kitanzi
nitachimba na sururu, kwa ardhi nikitafuta penzi lako
ni heri (?) kwa fimbo, au kwa mwili
sababu nitajikuna ama nitajikanda kwa maji moto
maumivu ya penzi mtu hajikuni wala hajikandi na maji
na hakuna upasuaji, yo, yo
hoo!

[chorus: kidum & lady jaydee]
kama kuna kosa nimewahi fanya, nieleze
kama kuna jinsi tunaweza leta, nieleze
na kama kuna (?) ningeweza tenda, nieleze
nitafanya, fanya
nitatenda, tenda
nitafanya, fanya
nitatenda, tenda
nitafanya nasema, fanya
nitatenda, tenda
nitafanya, fanya
nitatenda, tenda
woo!
[verse 2: lady jaydee]
kweli huk-mbuki uliyo yafanya, ah
ni kweli unak-mbuka tulipo toka
sisemi habari zozote za kusikia
bali kwa ushahidi niliouona
msamaha mara ngapi, umеshaomba na bado
je, ni makosa mangapi?, niliyo yafumbia macho
mpaka leo nahisi kufika kikomo
maumivu yan-z-di ndani ya moyo
sitaki kwenda mbali kwani upo moyoni
nikusamеhe mimi mara ngapi we?
nieleze, ‘mpenzi mara ngapi?

[post-chorus: lady jaydee & kidum]
unataka nikusamehe mara ngapi?, usihesabu
ungependa nikuvumilie mara ngapi?, kuna mwisho
wewe nikulilie mara ngapi? (?)
sitoweza, utaweza we
nimechoka, usichoke
nimeshindwa, usishindwe
mi naondoka, ah, ah, usiondoke mami
sitoweza (weza)
nimechoka, usichoke
nimeshindwa, usishindwe
mi naondoka leo
[verse 3: kidum]
ukihesabu ni mara ngapi umenisamehe
ni kama kuhesabu ‘ni mara ngapi mtoto kaharibu nappy
usichoke
usiondoke
usilie, ‘niko hapa kukulinda

[post-chorus: kidum & lady jaydee]
kama kuna kosa nimewahi fanya, nieleze
kama kuna jinsi tunaweza leta, nieleze
na kama kuna (?) ningeweza tenda, nieleze
nitafanya, fanya
nitatenda, tenda
nita do, do, do, doo, fanya
nitafanya, tenda
nitafanya, fanya
nitatenda, tenda
nita do, i swear, fanya
nitafanya, tenda

[post-chorus: lady jaydee & kidum]
unataka nikusamehe mara ngapi?, usihesabu
ungependa nikuvumilie mara ngapi?, kuna mwisho
wewe nikulilie mara ngapi?, usilie
sitoweza, unaweza
nimechoka, usichoke
nimeshindwa, usishindwe
mi naondoka, ah, ah
sitoweza (weza)
nimechoka, usichoke, you’re angel
nimeshindwa
mi naondoka leo
[outro]
yih
usishindwe baby
nita do, do, do, do, doo

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...