letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de watanikubali - kevo kay

Loading...

intro
uwoi woii! aaa ahaa kevo kay mara tenana
briba mmmh nanana
producer joe

verse 1
ndio siku ya kwanza, kwa tasnia ya mziki mimi natumbukia
kina w-lly tuva, watanitafuta interview kunitia
mpole kijana, bila dredi swagger ivi watanikubalia
ama ntakubalika, kesho waende insta waanze kunitukania

bridge
ahe ahe bila mbwembwe skendo ivi wao watanifuata insta aaa
kwa runinga ngoma zangu wataagizaaa hey
na vipi zitakua comment za mtandao wa twitter aah
kwa youtube watamind kunifuatia ah aaah eya,heeey

chorus
watanikubali hao
hivi watanikubali hao
watanikubali hao
hivi watanikubali hao

verse 2
heeey
ka nadia katambe,sio rahisi kaimba mukami
nikubali nikane? ndio natumbukia ivo sijui
wataona wanitukane, vuguvugu naimba mziki gani
kisha,wanipake tope, ninyamaze kimya sio wa visirani

nimefunzwa upole tangu utotoni na mama yangu,wakinipiga dondi nitoe wapi nguvu nirudishe?
nilivyo mnyonge nitoe wapi wamatusi ubunifu,mi mdini na inakataa,kioo cha jamii taa ni waangazieeeee

bridge
ahe ahe bila mbwembwe skendo ivi wao watanifuata insta aaa
kwa runinga ngoma zangu wataagizaaa hey
na vipi zitakua comment za mtandao wa twitter aah
kwa youtube watamind kunifuatia ah aaah eya,heeey

chorus
watanikubali hao
hivi watanikubali hao
watanikubali hao
hivi watanikubali hao
watanikubali hao
hivi watanikubali hao
watanikubali hao
hivi watanikubali hao
watanikubali hao
hivi watanikubali hao
hivi watadhani sauti sina
mistari sina waone wanipotezee

wa tv radio prisenta
kweli ana kiki mbona nimcheze

mapromota mameneja
uyu hana biashara atoke akwende

moyo utaniuma sana
mwenzenu njifiche nianze nilieee

aiyeeee aiye uuuuuo
aahi mama mama mama
mama mama
aaaaaah

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...