letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de sinanga limits - kennah

Loading...

https://soundcloud.com/kennah-1/kennah-sinanga-limits

artist: kennah
song: sinanga limits
year: 2013
mobile: 0727 266 009
language: kiswahili

intro:
huh b-sslyn embakasi
nakucheki bwana q
lego…

verse 1 lyrics:
natoka ile mtaa madem ndio watakuslice
playwise na ukilalia maskio pumpum ndio size
nipate kwa bench na koinange na capital ndio talk
all kenyan all the time niko kwa routine ka clock
so ka time is money nabuy time adharani
ndio ka swaleh mtaani niache wakitafakari
so for now let’s talk sense always on point
na ukileta pang’ang’a kaka nitakudissapoint
tangu waskie mi na kirubi kuna miradi tunashare
wenye walinikemea naskia sa wamelegea
so kwa biz i’m never in a rush nina cl-ss
plus test of time ulizia nilip-ss
nang’ang’ana nipata kakitu kaka na si funny
jina kubwa uliza sifa ni kwa verse hatari kwa biz gagari
huh iko nini kaka

chorus:
najiachilia vile najua kaka sinanga limits
vile najua kaka sinanga limits
najiachilia vile najua kaka sinanga limits
ka ni biz ka ni mzikii x2

verse 2 lyrics:
kw-ngu bisha hodi hiphop ishalipa kodi
ikuwe leo ama siku za usoni flow ni ngori
ju mi sioni njia nyingine tofauti ya kutoa maoni
number moja kwa game n-z-di na sikomi
so mi ndio nawalk the talk daily kuwarock
na ukiskia nimerudi nyuma labda na moonwalk
iko nini kaka nilisaka nikapata
wakibonga siku hizi niko like jaza meno kwanza
kaka yes life is funny ishi poa na jirani
kesho ukikosa mgawane chenye kiko mtie ndani
walidhani wamefika sa wanashtuka vile nasifika
vile nawashika na tena vile nina wafuasi twitter
so bado nang’ang’ana nipata kakitu kaka na si funny
jina kubwa uliza sifa ni kwa verse hatari kwa biz gagari
yeah iko nini kaka

chorus:
najiachilia vile najua kaka sinanga limits
vile najua kaka sinanga limits
najiachilia vile najua kaka sinanga limits
ka ni biz ka ni mzikii x2

verse 3 lyrics:
ok zeros kwa payslip nina mshahara
tax kafanya generation flani kaparara
kwenye grind na sahara ishara za niko ziara
so cash flow on a go slow si basi ni swara
niko ju ya maji ka jehovah na siezi kuwa sober
crime ikitake over mpaka magova nakopa
ak ndio nieze kukam ile show yako kuroga
nina bonga points kwa verse na siezi konda
ka msee wa madeni njia nikabadilisha
teke ka rudisha ndio mi nisaka mapeni
ki usanii nishawaconquer so sina budi kusonga
kazi kwa vijani na sa mf-ko inabonga huh
working cl-ss makali kwa gl-ss kazini
plus kwa dream number moja forbes magazine
uliza sifa ni kwa verse hatari kwa biz gagari
iko nini

chorus:
najiachilia vile najua kaka sinanga limits
vile najua kaka sinanga limits
najiachilia vile najua kaka sinanga limits
ka ni biz ka ni mzikii x2

sinanga limits haha hivi ndio si ufanya yaani
si unajua kennah

download the song and share……….
thank you for supporting local talent!!

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...