letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mama - kayumba

Loading...

i sing for you mama
i love you ma(mama mama)
i love, i love you ma(mama mama)

maneno yako na busara zako
zinazunguka kichwani mw-ngu
popote nilipo upo mama
unasema na moyo w-ngu

kwenye mazito na magumu
usia wako ndo ngome yangu
hupendi nikijilaumu
nikipatacho ndo fungu langu

ulisema mama, narudi utoto(ooh)
moyo unaniwaka moto
jinsi ulivyoniendo usiku haulali(ooh)
vihoma homa ama baridi kali
ukanilinda kama mboni yangu

hata kama nikisema nikushukuru
pesa na mavogi bado
hata nijenge nyumba mithili ya ikulu
kufikia upendo wako bado

hata kama nikisema labda nikushukuru
pesa na mavogi bado
hata nijenge nyumba mithili ya ikulu
kufikia upendo wako bado

kwa taani udhalilike(huruma yako mama)
ukanyage miba mi nipite(huruma yako mama)
ushinde na njaa mi nishibe (huruma yako mama)
ukanyage miba mi nipite(huruma yako mama)

i sing for you mama
i sing for you mama

mama, hii ni yako mama
ulichana nguo zako nistiri mwana
mama, wa kupendwa sana
walivumilia leba walipotupata

wapo walokataliwa(mama)
na milango kufungiwa(mama)
nyumbani kutimuliwa(mama)
na mali kudhulumiwa(mama)
i love you ma

hata kama nikisema labda nikushukuru
pesa na mavogi bado
hata nijenge nyumba mithili ya ikulu
kufikia upendo wako bado

hata kama nikisema labda nikushukuru
pesa na mavogi bado
hata nijenge nyumba mithili ya ikulu
kufikia upendo wako bado

kwa taani udhalilike(huruma yako mama)
ukanyage miba mi nipite(huruma yako mama)
ushinde na njaa mi nishibe (huruma yako mama)
ukanyage miba mi nipite(huruma yako mama)

i love you ma
i love, i love you ma
i love you ma
i love, i love you ma

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...