letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de usinioneshe singeli - kapaso bkp

Loading...

intro
adasco mtu mbad

verse

na kwenye mapenzi sina hasara
sijawahi kujutia
ukija kichwa kichwa
ndugu zako watakulilia
sijawaii kupenda
sijui kung’ang’ania
hata nikukute baba yangu
hunioni mimi kulia aah

chorus

shiiiiii
mwanangu usinionyeshe
demu wako nisije nikapita nae
oya usinionyeshe
bwana ako nisije nikaruka nae
usinionyeahe chura wako
nisije nikapita nae
oya usinionyesha
danga lako kesho utanikuta nae
verse

usiniulize alosabadilisha sielewi
kwanza mi mwenyewe najionea kiza
oya aliesabisha simjui
mi vampire nang’ata na kupulizaaaah
akili yangu imesha vurugwa
dawa za kunywa nimeoga
nishakuwa fisi sielewi
nakula mpaka mizoga

aloniloga sijui kafa
dawa za kuoga nimenawaah
nakwambia sielewiiiiiiii
mpaka sierеwi tena

chorus
mwanangu usinionyeshe
dеmu wako nisije nikapita nae
nisije nikapita naee eeeeh
oya usinionyeshe
bwana ako nisije nikaluka nae

usinionyeahe chura wako
nisije nikapita nae
oya we oya we
nisije nikapita naee
oya usinionyeshe
danga lako kesho utanikuta nae
ukinikuta nae we usishangae

bridge
okay amini kwamba mzee wa bwax
hapa mtoto wa nje ya ndoa
ugoko wa mende biskuti ya chuma
kataa tuone
chuma kwa chuma cheche
we juma mahazi msondo
aah nisalimie mwanangu super mtenje
wak-muitwa pascal msindo mtoto wa azam

beberuuuu kapaso apa g*nius from tanzaniaaa
aiii anaitwa kaiza ladern
the don eeeh
we hamfrey mieno wanang wa bkp brand

outro
oya akili yangu imesha vurugwa
dawa za kunywa nimeoga
nakwambia sielewiii iiiii
mpaka sielewi tena

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...