letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de tatizo nini (acoustic) - kapaso bkp

Loading...

shiii beberuu
we jamani sijui niniiii iii
we umepatwa na nini wewee
we jamani sijui ninii iii
we umepatwa na nini wewe

sjui niniii mwenzako nakosaga gani wewe

na sio kama siyajui mwenzako nayajua
lakini nimeamua kufumba machoo
sio kama siyaoni mwenzako nayaona
lakini nimeamua kufumba macho

aya baba hukuona sehemu nyingine
mpaka kwa demu w-ngu hata aibu huna
aya baby hukuona sehemu nyingine
mpaka kwa ndugu yangu kisa vichenchi sina

we tena unamsifia demu waanguu
ooh baby ukapagawa na vigari garii
we tena unamsifia demu w-ngu
anamzigo nia yako hata aibu huna

we baby ukapagawa na vigari vinoti
ndo ivo kisa vichenchi sina muunii

we penzi langu na share
jamani na share

tewa dada boss penzi langu na share
ooh leo na share
kisa sina ela penzi langu na share
we leo na share aaaaaaaah aah we leo na share

mke w-ngu anaaga anaenda sokoni
mi nampa ela ya tembelea ye anarudi na mchele

oooh
anaaga anaenda sokoni
mi nampa ela ya dagaa ye anarudi na kambale
mke w-ngu mi nampa ela ya bamia
mi nampa ela bamia ye anarudi na njegere
oooh akitoka morning akitoka morning
iyo kurudi mishalee eeeeh

aaaah we penzi langu na share
we mama na share

jamani penzi langu na share
we leo mwanangu don mendezi you
penzi langu na share
we ras we mama na share

mwanangu cha jero aaah aya yayaya yayaya
chazi boy leo na share choni wiii wiwiwi na share
kaiza rarden leo na share wanangu wa kari wa road
leo na share

oya penzi langu na share
jamani na share aaaa aaaaah

kapaso apa g*nius from tanzania aaah

shiii beberuu
aah nakubali wanangu wa bkp brand brand
aaah round iii nipo na adasco

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...