letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de amka - kalimani feat. jasmine

Loading...

(kalimani)

ilibidi isolation nijue nini muhimu kwa life/
k-mbe chips ni viazi cha muhimu ni wife/
daily drink si lazima, una’eza sacrifice/
hata mazishi upime watu plus hesabu za rice/
tena nika-realize si kila mtu ni wise/
ana’eza fuata epl na hawezi fuata advice/
asote ju ya eabl na hawezi hata sanitize/
ni kama siku ya ku-die terms and conditions apply/
bana! aki walai, wazimu ni nani?/
ni ka the more wanavyosoma ndo wanachizi kindani/
eti wafwasi ndio kondoo k-mbe mafisi kiplani/
ukidai kujisitiri ndio risiti huvanish/
k-mbe ni vanity imejaa kwa humanity/
kujifanya middle class hadi ukatwe ki-salary/
binadamu ndio -n-leta story za inequality/
na ukicheki tu visawa si sote tuko sawa//

(vivianne jasmine)

changamka… inabidi tuchangamke…/
inabidi kuchangamka… inabidi kuchangamkaa…/
changamka… inabidi kuchangamka…/
inabidi kuchangamka… inabidi kuchangamkaa…/
(kalimani)

ilibidi isolation nijue k-mbe siasa haidai/
chunga jirani yako pia ndio ye mwenyewe akufae/
k-mbe kampuni za kikenya ziko na manufaa/
yule unadhani ataishi ana’eza kua akufae/
(walai) si lazima tujazane kwa ndae/
una’eza fika tu vipoa muhimu uko alive/
mi naomba, tutaimada hii corona/
kusonga, na we mwenyewe utaona/
ma-biz zitarudi bila shaka huko gikomba/
walami watakuja tutavuna hizo ma-dollar/
madonda hawatakonda, mjei watabonda/
vinyozi na saloon bado watapaka poda/
nairobi, mombasa, kisumu… na ocha/
kwa dua za maulana bado si tuko pamoja/
changamka, inadai kuchangamka/
kila kitu tunaweza bora tu tumeamka//

(vivian jasmine)

maisha yamebadilika/
natamani tutakuja shinda/
j-po kuna pandashuka/
bado tutakuja shika/
sa inabidi kukaa mtaa/
na mikono kusafisha/
kama tumechangamka/
hili janga litakuja isha/
changamka… inabidi tuchangamke…/
inabidi kuchangamka… inabidi kuchangamkaa…/
changamka… inabidi kuchangamka…/
inabidi kuchangamka… inabidi kuchangamkaa…/

hili jangaa…
hili jangaa…
hili jangaa…
hili janga lita die, hili janga lita die..

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...