letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de noma - k son rap

Loading...

noma juu ya noma..ngoma juu ya ngoma..yani turu juu ya ngeu..kichapo cha mp ambae ni noma..michano ya mcee ambae ni noma..naleta noma..singasinga chundabad maradona..kino mpaka ukonga..sekunde tu na change ka kinyonga..naleta noma..singida na dodoma..marapa wanaopenda vyakitonga..uskia para panda ujue ni noma..ukileta propaganda kama ngosha..noma..nipo kwenye beat na ma monster..
watu wa bad ile kinoma..ukuzingua wakufinya kama roma..nyasi tunachoma..police wakivamia kulakona wakushika juwa ni noma..usiende peku peku kuna ngoma..noma..vina na mizani na vishona ile kinoma..mamluki wanakoma..transforma nalipuka ile kinoma

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...