letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de ndoto ya mchana - k son rap

Loading...

[intro]
yeah ksonrap
this one right here is for the people
yeah, let’s go
[verse]
ajira hakuna tunasuk-ma mikokoteni../wanasiasa baada ya kampeni wameingia tu mitini../bila hata kandili wametuacha tu gizani../kila kitu wametupiga pini wanasingizia vita vya ukreini/vitu vinapanda bei madukani..nachokisema nikweli wala sio utani../mfanya biashara wan-z-funga tu mizani../shekhe msikitini anakosa hela yakununua hata ubani../hakuna anaetoa sadaka kanisani hatuna hata mbuni../hakuna madawati watoto wanakaa chini mashuleni../sare zao zimetoboka matakoni../wabunge wao wanasinzia tu bungeni..wametuacha kwenye mataa hali duni../wanaishi zao tu mijini tuvyoishi ni kama mateka tu vitani../hakuna madawa hospitalini majisafi hayatoki mabombani../wanapitisha tu kokeni mateja wan-z-di tu kujaa uswahilini../hadi lini? magendo yanapita tu bandarini../hatupo hata makini wanasafirisha makinikia watuambia sio madini../nyie kopeni siegii anatuambia yanaongezeka tu madeni../watetezi wote wapojela wanakesi za uhaini../waliponea chupuchupu walikimbilia uhamishoni../

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...