letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de moto - k son rap

Loading...

panapof-ka moshi kuna moto../ukich0m-a betri..kinachofata jua ni moto../ukija pekupeku kama mpoto..utaukanyaga moto..hatari weka mbali na watoto..kimewaka piga simu zimamoto../sijui simba sijui tembo..wote wanauogopa huu moto../dingi amekimbia majuk-mu changamoto..nyashinki koloo khaligraph kaa la moto../nikiwasha hakuna wakuzima huu moto..za mwizi zikifika akishikwa jua ni moto../madini yanapita kwenye moto..chuma hufua chuma kwenye moto../tenda dhambi kwa shetani kuna moto..moto juu moto..nikiwa booth kwenye spiker utachoskia tu moto../nikirudi home mama watoto hunipika vitu moto moto nikimaliza kinachofata tu moto../nikiwa bar nimechill nimegiza ya baridi moja moto../wakavamia majambazi wenye chamoto wakapiga sana risasi zenye moto../

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...