letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mitaa nayotokea - k son rap

Loading...

[intro]
where the street life y’all at?
ha, ha
yeah, let’s go
mitaa nayotokea..

tumezaliwa uswazi sogodo ndani ndani hakuna familia inayojua uzazi wampango nyota ya kijani..mateja wamejaa chimpumu gongo na komoni..saa saba mchana huwezi kukatiza uchochoroni..mangi ukijitusu watu wanakula mtaji unarudi kwenu kibororoni..hakuna maendeleo utasema enzi za mkoloni..hakuna cha mswalie mtume huku wala msaada kwenye tuta..dingi na mtoto wote tu mapusha..watu w-n-loga iba hata ndala tu wakutoe tu mabusha..kipo huku cha mtema kuni kila godoro linakunguni..kila mtoto ameshapinda akuna anaecheki cartoon..ni magheto ya wahuni hakuna anafata kanuni..passport size hakuna anaekwenda bafuni..wote ni marasta wana vuta tu maganja hakuna anaekwenda saloon..hakuna aliestaharabika kama unakinyaa unaweza ukatapika..hakuna hata taa muda wote umeme umekatika..patashika ukikamatwa na polisi hakuna wakukuwekea dhamana..madogo shule wamebana..ukifanya kosa unapigwa kama mwizi..njia panda watu wanavunja n-z- mchana hakuna hata hajizi..wazee wakutoa kafara wamezivaa irizi..kama sio ndondocha mlangoni wameweka chizi..

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...