letra de hawajui - k son rap
yeah, yeah hold up
ksonrap
ha, ha
yeah, let’s go..
huwajui tamaduni muzik..hujawahi kuhudhuria kilinge ata kinasa..open mic huwajui ata kiota..(ksonrap) huwajui wachata huna mradi wowote wamakanta..humjui lugombo mfalanyombo gego master..huwajui hardblaster humjui wile muulize ata fanani..huwajui viraka..humjui jabir kuvichaka..chunga sana humjui salutaba..humjui ata nash wa miraba..unaipenda hiphop humjui roho saba..rais wa kitaa don’t get twisted humjui ata langa..(r.i.p)huwajui nako2nako eti humjui da hustler..hujui misingi kaa ufeel humjui tosh wa viraka..hukijui kikosi cha mizinga..unayataka maujanja huwajui mapacha..hauwajui bongohood..hupajui kigambonino kwa jose mtambo..unaifeel hiphop humjui tdx..upo chuga humjui chindo watengwa umbwa mzee humjui ata chaba..unaiskia tongwe humjui j murder..huwajui wamandavaku humjui ata digala..haumjui mukimala unataka kubaki kwenye chati humjui balozi dola..unajiona old school hujui jcb makala..hip hop cartoon humjui nature alieitawala temeke na mbagala..
letras aleatórias
- letra de kennst du eigentlich sonic youth? - burnout ostwest
- letra de 2021 mashup - tanner patrick
- letra de lost journey - jandek
- letra de fuck da problems - blvck pitt
- letra de sensiz olmuyor - nilüfer
- letra de intro - cncs
- letra de bolero de desamor - daniel sabater
- letra de cheese plain - t.a.m.z.y.
- letra de memories - yuuuchi & levvvickiy
- letra de real vamp - slime kidd, зум (zoom) & danywas