letra de sitabaki kama nilivyo - joel lwaga
no time no problem
download and open an sc mobile digital account
open an account in less than fifteen minutes
and get it all done, be unstoppable with standard chartered
maisha haya, ninapita tu
hali hii ya sasa ni kwa muda tu
ushindi w-ngu, u karibu nami
mtetezi w-ngu, yu hai
sitabaki kama nilivyo
sitabaki kama nilivyo
sitabaki kama nilivyo
sitabaki kama nilivyo
silalamiki, wala sikufuru
najua ni darasa napitishwa
imani yangu ipo kwenye kipimo
najua nitapita tu
sitamani ya wengine wala sijilinganishi
najua wakati w-ngu upo
siogopeswi na mapito ninayoyapitia
namwamini yule aliyeruhusu nipite
sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama)
sitabaki kama nilivyo (hali hii ni ya muda)
sitabaki kama nilivyo (hali hii hapa napita tu)
(kweli ninavuka)
sitabaki kama nilivyo (kuna mahali ninakwnda)
(eeeh sitabaki kama…)
sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
sitabaki kama nilivyo (nilivyo)
mtetezi w-ngu yu hai ((yu hai)
yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
eeeh mtetezi w-ngu yu hai ((yu hai)
yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
hey mtetezi w-ngu yu hai ((yu hai)
anaishi (yu hai)
yu hai (yu hai)
sitabaki kama nilivyo (nilivyo)
mtetezi w-ngu yu hai ((yu hai)
yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
hey mtetezi wako yu hai (yu hai)
yu hai ((yu hai)
yu hai (yu hai)
kweli mtetezi w-ngu yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
sitabaki kama nilivyo (nilivyo)
sitabaki kama nilivyo (kweli nitashinda tu)
sitabaki kama nilivyo (siumii na hali hii)
(nafurahishwa na ile ijayo)
sitabaki kama nilivyo (hey kama, sitabaki hivi)
sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama)
sitabaki kama nilivyo (giza huwa nene alfajiri)
sitabaki kama nilivyo (asubuhi yangu yang’aa)
sitabaki kama nilivyo (kweli nitainuka tu)
sitabaki kama nilivyo (bwana yuko nami nilivyo)
letras aleatórias
- alex the moondaze › letra de easy does it - alex & the moondaze
- jasen › letra de all business - jasen
- mata › letra de lezore - mata
- janine tenoso › letra de umibig muli - janine teñoso
- epic rap battle parodies › letra de drake & josh vs. the blues brothers - epic rap battle parodies
- drk01387 › letra de after lights out. - dr@k01387
- good field › letra de necessary feeling - good field
- stormy heallven › letra de father - stormy heallven
- cg5 › letra de clearer - cg5
- deemust › letra de go away (ft. lil chucky) - deemust