letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de subira - issai ibungu feat. 20 percent

Loading...

bonsee

lovely lovely

aahn

oh subira, subira ya vuta heri
cheza mpira
mpira huo usitazame sana muhuri

oh subira, subira ya vuta kheri
cheza mpira
mpira huo usitazame sana muhuri

don′t give up!
never give up!

kazini, ofisini, kijiweni
jiamini, tumaini, utawini

ukipatwa hasira
usisimame, kaa
na kama ume kaa
usije nyanyuka

asa wewe msela, iogope jela
epuka mahabara, hasira hasara

kwenye msafara
punguza papara
na wala usimuone fala
yule mtu alie lalaaa

oh subira, subira ya vuta heri
cheza mpira
mpira huo usitazame sana muhuri

oh subira, subira ya vuta heri
cheza mpira
mpira huo usitazame sana muhuri

whats up boy?
let’s go together

let′s go…
asante sana
wazazi baba na mama
nimeyaona mengi muliokwisha sema

kwamba; “kwenda shule sio kukwepa kulima
na kukaa mbele sio kujua kusoma
alie nyuma usidhani ye kakwama
na kuwa wima silazima kusimama”

kwenye msafara
punguza papara
na wala usimuone fala
yule mtu alie lalaaa

oh subira, subira ya vuta heri
cheza mpira
mpira huo usitazame sana muhuri

oh subira, subira ya vuta heri
cheza mpira
mpira huo usitazame sana muhuri

kwaimani yangu
ridhiki yangu ni yangu
hata ipite kwa adui yangu
lazima itafika kw-ngu

watakufunga pingu
watakupiga rungu
ili chako kiwe chauchungu
hao ndio walimwengu

omba sana mungu
kwa uchungu itazame mbingu
umwambie mgawa mafungu
litazame chaso langu

kwenye msafara
punguza papara
wala usimuone fala
yule mtu alie lalaaa

oh subira, subira ya vuta heri
cheza mpira
mpira huo usitazame sana muhuri

oh subira, subira ya vuta heri
cheza mpira
mpira huo usitazame sana muhuri

oh subira, subira ya vuta heri
cheza mpira
mpira huo usitazame sana muhuri

oh subira, subira ya vuta heri
cheza mpira
mpira huo usitazame sana muhuri

busi-business fingers
pasuka pamoja records (records, records, records, records)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...