letra de dharau - ibraah feat. harmonize
mmmh
aaah
bomboclaat
chinga again
konde music world wide
eeh oooh
cough ah
mungu alonipa ukilema hawezi niyima mwendo
na sikupanga imenibidi kulivua pendo
maana mwanzo nilidhani utabadilika
of course hakuna aliekamilika
maasaaa msiku miaka imekatika
nachukia kujiona nikilalamika
bora uyali dagaa kwenye amani
kuliko wali nyama vitani
mateso vitimbui kurupushani
kama unajiona kichwa shingo nani
bora uyali dagao kwenye amani
kuliko wali nyama vitani
mateso vitimbwi kurupushani
kama unajiona kichwa shingo na nini sipendi
dharau manyanyaso
dharau masimango
dharau manyanyaso
siweziii siweziii
dharau manyanyaso
dharau masimango
dharau manyanyaso
siweziii siweziii
(instrument)
mmmh
aah
oooh
aah aaaah
yeah me nilidhumu nafsi kuji kirihisha
nikiamini me mtu wa mtu
k-mbe bora ninge chuku chuku
aaah kidogo
ninge fanya utukutu
moyo ndio ulikupa nafasi
chakusikitisha minacho ambulia ni maumivu tupu
bora ninge chuku chuku
aaah kidogo
ama ningewapa wakifanye supu
kwako nilikuwa nyendo sina
nikijua you are my destiny
sina wa kuntuzia heshima
kama hata wewe nitashindua thamini
ni kweli utakwenda mazima
j-po itakutwa ngumu kwamani
nitamisi michezo ya mama amina
yakucheza kwaku burunza ulimi
eeeh
mapenzi ulionipa wewe
walahi misikutamani mwengine we wakiapo
mwenzangu umebadilika wewe
j-po minakupa kila utakacho
bora uyali dagaa kwenye amani
kuliko wali nyama vitani
mateso vitimbwi
na ndio maana hatuendani weeeh (mmh)
dharau manyanyaso
dharau masimango
dharau manyanyaso
siweziii siweziii
dharau manyanyaso
dharau masimango
dharau manyanyaso
siweziii siweziii
yaw yaw
dharau manyanyaso
manyanyasooo
yeeh iih
konde boy call me number one
the mix keller
bakhresa
letras aleatórias
- dan harrison › letra de runnin' out of radio - dan harrison
- pretty cartel › letra de streets - pretty cartel
- ankor › letra de completely frozen - ankor
- octavian › letra de lotion boy - octavian
- fa › letra de я хочу - fa
- harry parsons › letra de good time - harry parsons
- ericdoa › letra de plea - ericdoa
- austin possum › letra de drive - austin possum
- hamid hiraad › letra de akhar namandi - hamid hiraad
- altrivers › letra de reminiscence - altrivers