letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de siringi - hotsea

Loading...

[intro]
yo
they call me
vile beat imesema
haha…
sijui most kukuhusu
nah
lakini this is me

[verse 1]
coincidentally napenda yule amebeba fiti
akisimama namcheki tu fiti
akizungusha basi nashika hii kiti
hii ni kama sinema sema darker shades fifty
katika harakati zangu za mziki
mi hupatana na watu hawaninyiti
sijui ni vile mi huwa mbichi
raw in other words niite mr hot-mbichi
nadai peace, nadai humility
sitaki ishi milele, possibility
im-possibility cheki reality
niligonga ka-eighteen juu ya purity
purity, alipendwa na sam first
purity, kanifikisha dar salaam
purity, alikuwa anataka love
kasahau l-st ndio love usije kasahau

[chorus]
kifua, roho juu, macho mbele na siringi
(siringi)
baraka tele maishani mw-ngu na siringi
(siringi)
kifua, roho, macho mbele na siringi
(siringi)
baraka tele maishani mw-ngu na siringi
(siringi)

[verse 2]
toka kale nimekuwa nikisema
si rahisi kila mtu pendeza
leo kuwa rafiki ya lena
kesho hak-mbuki wako wema
milele yuataka ukuwe spender
ukiwa broke hawezi kuwa lender
anakucheza chakacha na benga
hey most probably unacheswa

[refrain]
aye
saa hii, saa hii x2

[verse 3]
nipe masikio saa hii nikibonga
nataka kupa advice ya donga
cheka nami saa hii wacha kubonda
nataka uache kujikoroga
na kabla huj-patwa na vidonda
k-mbuka ukuta si ya kugonga
k-mbuka whisky sio soda
ukikosa kanyama kula mboga

[chorus]
kifua, roho juu, macho mbele na siringi
(siringi)
baraka tele maishani mw-ngu na siringi
(siringi)
kifua, roho, macho mbele na siringi
(siringi)
baraka tele maishani mw-ngu na siringi
(siringi)

[outro]
siringi
siringi
siringi
siringi

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...