letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kioo - harmonize

Loading...

bboy beats

konde boy call me number one
bakhresa, ai (ei)
anjella
mmh

na ikitokea umemuona mvute chini umwambie
mwenzake me sijiwezi
yeye ndio wakunifanya nikapona, mwana wa mwenzie
haya maradhi ya mapenzi
anaposhika akipaacha sipaoni
sometimes i feel kaaniita peponi
akija pangoni ulimi sikioni
she turn me on

yalla, yalla
yakh habibi me napenda raha
huyu mtoto mashallah
mashallah
yalla, yalla
yakh habibi me napenda raha
huyu mtoto mashallah
mashallah

baby nataka kiwe kioo, kioo
kioo, kioo
kioo, kioo
ukicheka me nitacheka nawe
kioo, kioo
kioo, kioo
kioo, kioo
ukinuna nitanuna nawe
kiwe kioo, kioo
kioo, kioo
kioo, kioo
ukicheka me nitacheka nawe
kioo, kioo
kioo, kioo
kioo, kioo
ukinuna nitanuna nawe

uh
beibe beibe beibe beibe
mmh
eh

kwenye kivuli cha picha yangu
nakuona wewe my boo yeah
you do me like i do, mmh
tuwape maswali yasiyo na jibu
tuwapunguze gubu, yeah
tuzichore tattoo, mmh yeah
yani nimeoza kwako chaka chaka
kipa magoli kwako nanyaka nyaka
chochea kuni moto tayari nishawaka
mmh, yo
ukizama unapagusa unapotaka
swala la ufundi sina shaka
ndani ya moyo nishakupa madaraka
ih
only you baby
mwengine sidhani
nimekuweka ndotoni
nimekuvika kidani cha mapenzi

yalla, yalla
yakh habibi me napenda raha
huyu mtoto mashallah
mashallah
yalla, yalla
yakh habibi me napenda raha
huyu mtoto mashallah
mashallah
mmh

kioo, kioo
kioo, kioo
kioo, kioo
ukinuna nitanuna nawe
kioo, kioo
kioo, kioo
kioo, kioo
ukicheka me nitacheka nawe

kioo, kioo
kioo, kioo
kioo, kioo
ukinuna nitanuna nawe
kioo, kioo
kioo, kioo
kioo, kioo
ukicheka me nitacheka nawe
only you baby
mwengine sidhani
nimekuweka ndotoni
nimekuvika kidani cha mapenzi

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...