letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de i wish - haitham kim

Loading...

i wish ungejua vile uko moyoni baby
i wish ungejua nnavyo kupenda
i wish ungejua vile sioni sisikii
i wish ungejua aah ooh my love
we ndo pepo yangu (pepoo)
ndo kidani kwa shingo nikuvae
we ndo tamu yangu
nipo radhi mimi nizikwe na wewe
nawe ndio msiri w-ngu (ooh)
tena nnje ndani unijuae
dunia ingekua yangu tungebaki wawili mimi na wewe
ahh ahh ahh nakupenda
ahh ahh ahh nakupenda

mi ndo mwenye mapenzi yako nipoke
penzi furaha nicheke
nikiteleza nisamehe
ooh my darling
nitalipigania penzi kidete
sogea karibu tutetе
we ndo chanda mi pete aahaa
uuh jamani
yako mahaba kama jini jini
bila kitеzo wala ubani na panda mimi
unavyo nichezesha makirikiri
nabaki ooh jamani
nawe ndio msiri w-ngu
tena nnje ndani unijuae
dunia ingekua yangu tungebaki wawili mimi na wewe

ahh ahh ahh nakupenda
ahh ahh ahh nakupenda

uuh ye yee
wewe ni w-ngu ni w-ngu
kwa mboni nakuona wewe tu
wewe ni w-ngu ni w-ngu
i love you, i love you baby
wewe ni w-ngu ni w-ngu
hata wakisema nini sikuachi
wewe ni w-ngu ni w-ngu
i love you, i love you
ohh jamani

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...