letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de rosella - h_art the band

Loading...

afraid to tell him how she feels
she silently whispers to herself
afraid, holding her breathe, maybe he might hear her
see, he doesn’t feel the same way, maybe
h_art the band lady jay dee

verse 1

nikaja kupenda na moyo w-ngu wote
binti huyu aliyenyefanya nimuote
usiku na mchana nikawa nikama nimepagawa
sionekani popote nikaja kutenda mambo
mengi magumu na mazito
ilimradi niwe naye lakini sasa ninapotazama
naona kwamba niliachwa upweke

nilikua na wingi wa mahaba nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza
kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka sasa
nilikua na wingi wa mahaba nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza
kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka sasa

chorus

rosela, mi najiuliza
rosela, je umebadilika
rosela, nashindwa kuamua aaah ×2
verse 2

ni ukweli niliamua kuondoka
nikidhani nitapendwa niendako
ooh hakuna
oh mi nilidhani nitakuta tofauti
hio yote mpaka sasa sijaona
moyo waniuma nikik-mbuka
mambo mengi we ulinikosea

najiuliza je ni kweli umebadilika
na maumivu mi nayarudia
masikini nashindwa amua
ooh nashindwaaa ×2

rosela, mi najiuliza
rosela, je umebadilika
rosela, nashindwa kuamua aaah ×2

verse 3

yani ilikua siku mingi sana hatujazungumza
sms zangu hurudishi, please call me zangu hunijibu
simu hushiki
na najua hiwezi kua ni simu ulipoteza
juu social media nimeona selfie zako
na ile top flaini kali nilikubuyia ya dashiki
kweli ni kuk-miss nimek-miss tena sana
na najua umenimiss pia unanilenga tu juu tulikosana
ego yako iko juu, ulikuaga dem wa maringo
lakini siteti, nilikupendaga tu ivo ivo
na ni tangu unitoke stress iko juu tu sana
sura imejaza wrinkles, kila time
najipata tu nimekasirikia vitu simple simple
hata jokes na pimples nacatch hawa wakishow tu madimples
yani kosa walisema si kosa, kosa nikurudia kosa
na najua unajua ulikosa but huwezi kubali
umekosea, nishakuzoea, ni sawa tu
nishakusamehea unaact selfish
but kuishi bila we, machozi siwezi daily
kukula kwa hoteli, si unajua mi ni mlazy
malkia, smile tamu crescent shape ya mwezi
sipendi tukikosana
napenda tukichora saba kwa saba love heart
si unajua nakupenda tu kwa sana pamoja
tembea dar, kenya, moshi, arusha
tunajirusha rusha, spending karibu dolce, gabana mwanaume si unajua ni kukazana, shopping
maspaghetti, crop 9months later baby shower
na pamper nimeshika rada, latha
first born anakaribisha brother
twende nyumbani nikuinteoduce kwa mother
mrasta ameshapata the other
rudi nyumbani
rosela, mi najiuliza
rosela, je umebadilika
rosela, nashindwa kuamua aaah ×2

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...