letra de train to boom - geeva
taka usitake napeleka far
mpaka abudhabi
hii kitu
napiga mashuti, natikisa paa
wala usijali
na kama ni mtoto mkali
subiri masaa
utacheer na leader chumbani
shuguli ni pevu, usije na njaa
mpaka asubuhi hatulali
binti mdogo lakini huogopi
tena ni mke wa mtu
nafunga milango lakini hukomi
tabia mbaya
utakuja niponza nishikwe ugoni
sitaki wahala
tulia nyumbani ucheze na toy
punguza mazara
unapita mipakani kama ni ziwa la nyasa
samaki ametembea ameishafika mombasa
jirushe kwa makini binti usije kunasa
kwa upande wa mangoma huwa sifanyi makosa
ndo maana taka usitake napeleka far
mpaka abudhabi
hii kitu
napiga mashuti, natikisa paa
wala usijali
na kama ni mtoto mkali
subiri masaa
utacheer na leader chumbani
shuguli ni pevu, usije na njaa
mpaka asubuhi hatulali
kutega mitego mchezo unaweza
na mi sina muda kulinda
kusema ukweli naogopa kunasa
mkondo umefika mombasa
kw-ngu huwezi kupata kibali
wewe ni njiwa wa pori
mtoto wa mjini najua manati
ila sipendi wapori
haah
ni hatari kama movie ya john wayne
mtoto mkali tumekutana kwenye train
kutoka liar mpaka boom, tume click
na after party tumefanya kwenye,,,
taka usitake napeleka far
mpaka abudhabi
hii kitu
napiga mashuti, natikisa paa
wala usijali
na kama ni mtoto mkali
subiri masaa
utacheer na leader chumbani
shuguli ni pevu, usije na njaa
mpaka asubuhi hatulali
letras aleatórias
- xand aviao › letra de solteiro largado - xand avião
- juiceb☮x › letra de like nothing's wrong - juiceb☮x
- lenny harold › letra de conclusion: into the grey - lenny harold
- kaylan arnold › letra de the crown - kaylan arnold
- genenguy hhn › letra de sayyeah - genenguy hhn
- thin lips › letra de my mouth is skinned like an apple - thin lips
- night beds › letra de 1000 yrs (bloodgood demo) - night beds
- kay the yacht › letra de don't flinch - kay the yacht
- marselle › letra de москва - marselle
- basick › letra de a game - basick