letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de tena - future jnl

Loading...

eh, kozy bado
a.m. records

eh, oya bu, i don’t know what to do
ra, rasta

sometime mi nawaza
roho yako iridhike kw-ngu utulie
nina mambo mengi sana ila natambua ah
na mengine yanauma siwezi simulia eh

nak-mbuka kali yako moja ya uchungu huku unalia
eti mi ndio mwanaume wako alikupa mungu
na uliebarikiwa ah

eh, oya bu, i don’t know what to do eh
eh, oya bu, i don’t know what to do
tena
tena
tena

nilianza maisha sasa nimeyakuta
kutwa mi nnaangaika usiku kucha ili kukuridhisha
kwepa wanafiki na fedhuri huaribu pendo
roho zao kaniki yenye kivuli eh

nak-mbuka kali yako moja ya uchungu huku unalia
eti mi ndio mwanaume wako alikupa mungu
na uliebarikiwa ah

eh, oya bu, i don’t know what to do eh
eh, oya bu, i don’t know what to do
tena
tena
tena

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...