letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de sambaratika - flier

Loading...

polisi ni wa tajiri
sheria ni ya maskini
ushuru ni ya mafia

uhuru ni ya pr
shahada hizo karatasi
elimu nayo maridadi
kenya hii hakuna kazi
walishapea mashangazi

manabii walitabiri
wengi wakuamini
system ni ya majambazi
sasa tunajuta
shahadah hizo hazitoshi
elimu siku hizi pochi
kenya hii hakuna haki
walishapea mali mali

toa jam, toa jam
mheshimiwa yuko nyuma huyo anacome
wananchi wamefunga njia kama slum
saa ving′ora zinalia kama ambulance

walimeza evidence
mashahidi waka change ma statement
wengine saa ni past tense
familia w-n-lia kuna foul play
katiba hio hawafwati
buda kama huna ganji
kenya hii hakuna haki
walishapea mali mali

oh yea
bwana anakuona
mpaka moyoni mwako
bwana anakuona
mpaka moyoni mwako
bwana anakuona
mpaka moyoni mwako
bwana anakuona
mpaka moyoni mwako

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...