letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de donda - fitzon dai

Loading...

intro:
oooh nanananaaa…aah
oooh nanananaaa…aah
oooh nanananaaa…aah
fitzon dai

verse 1
wapo wengi wenye donda..aaaaah
huku saa sita imegongaa….aaaaah
ibilisi amenisongaaa…aaaah
nikiwapa watabongaaa..aaaah
maneno yao kisirani,huwa yananichoma mama
kutaka kuniweka chini, nami sitaki hunyonge beiby
(wanaongana usiku n mchana hili tuachane beiby
nasitodiriki kuumizwa donda huwa hamishemishe mama)x2

chorus:
naitaji upendo wa dhati..
ila ukiniacha nilewe..
matatizo yani hurtii..
ooh ma bebi nielewee x 2

verse 2:
wanaringa wataki niwe nawee..iyo ni ndoto
wakati mapenzi yangu nawee..wanaitazamia ghetto, x 2
kama safari kw-ngu mawee…iyo ni bevoo
na sitaki kipenzi kingine beiby, ila niwe
maisha yangu..ni wewe
kipenzi changu ni wewe
muhudumu w-ngu ni wewe
doctor w-ngu ni wewe…

chorus:
naitaji upendo wa dhati..
ila ukiniacha nilewe..
matatizo yani hurtii..
ooh ma bebi nielewee x2

hook:
maneno yao kisirani, huwa yananichoma mama
kutaka kuniweka chini, huwa mishemishe mama
wanaongana usiku na mchana,hili tuachane beiby
nasitodiriki kuumizwa donda huwa hamishemishe mama aa..

outro:
yeaaaaah….fitzon dai beiby
changamka starz music
back..
big up panya mtu..
for discovered me fitzon dai
holla..!!!!

chorus:
naitaji upendo wa dhati..
ila ukiniacha nilewe..
matatizo yani hurtii..
ooh ma bebi nielewee x 2

bridge:
oooh ma bebi nielewee..
oooh ma bebi nielewee..
oooh ma bebi nielewee..
oooh ma bebi nielewee..

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...