letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mgongo - femi one

Loading...

tunavunja mifupa tukiskiza mapangala
baraza ni ya mabazu madenge masafara
vako za uchafuzi hadharani kimuhadhara
leo huku k-moto huku rada mamudialala
napiga ki monster nikingoja ki litre
harufu ya vela ficha na moshi ya shisha
divai kwa glasi kama ibada kwa misa
funga macho wale wanakunjana kwa giza
hii side yetu ni kigoco
mapinji wako wera mbaya sana chunga mbosho
siku hizi shingo chafu vile goro ni za congo
uno jadi kwenye santuri pinda mgongo

wacha zitubambe nah nah nah
mzuka zitupande nah nah nah
they like call me the wanna goer
icy kwa glasi na hio ndogo
wacha zitubambe nah nah nah
mzuka zitupande nah nah nah
they like call me the wanna goer
inama napinda mgongo, mgongo mgongo
inama napinda mgongo, eeh mgongo
inama napinda mgongo
kama matiki mziki katika na udance to the rhythm
basi enjoy vipolite vile night iko right feel feeling
karibu kwenye penzi vile zimewai zimenishika kishenzi
kwenye densi usiwe shy ka ni sensi tuseti
kwenye densi, densi densi densi
wacha zitubambe nah nah nah
mzuka zitupande nah nah nah
they like call me the wanna goer
icy kwa glasi na hio ndogo
wacha zitubambe nah nah nah
mzuka zitupande nah nah nah
they like call me the wanna goer
inama napinda mgongo, mgongo mgongo
inama napinda mgongo, eeh mgongo
inama napinda mgongo
zimenyc babe lemme tell yah
now you know you rocking with the donatella
ain’t n0body badder you can compare
compare eeh
na form imeshika basi fika na umati
chance zikijipa basi jua mi sihati
tamu give me fever baby ingilia kati
ingili, ingili, ingilia kati
na form imeshika basi fika na umati
chance zikijipa basi jua mi sihati
tamu give me fever baby ingilia kati
ingili, ingili, ingilia kati
wacha zitubambe nah nah nah
mzuka zitupande nah nah nah
they like call me the wanna goer
icy kwa glasi na hio ndogo
wacha zitubambe nah nah nah
mzuka zitupande nah nah nah
they like call me the wanna goer
inama napinda mgongo, mgongo mgongo
inama napinda mgongo, eeh mgongo
inama napinda mgongo

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...